SERIKALI YAPOKEA UJUMBE WA MIUNDOMBINU KUTOKA LETHOSO

Tokeo la picha la eng. joseph nyamuhanga

Katibu Mkuu wa wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi JOSEPH NYAMHANGA .

Timothy Marko .

Waziri wa ujenzi na uchukuzi nchini Lesotho Lehlohonolo yupo nchini kwa ziara ya siku tano kwajili yakutembelea nakujifunza miradimbalimbali ikiwemo ujenzi wa miradi yabarabara yenye mikataba mirefu ambayo makandarasi hulipwa kutokana namatokeo kwa kuzingatia vigezo kutengenezamiradi hiyo inayofadhiliwa na benki ya dunia.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wa wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamuhanga amesema kuwa hatua hiyo imetokana na Nchi ya Tanzania kuwa katika majaribio ya mikataba ya muda mirefu ya miaka mitano ya usimamizi wa bara bara katika mikoa ya mwanza Rukwa na Tanga ambayo miraadi hiyo ipo chini ya ufadhili wa benki hiyo .

''Mpango huo ambao upochini ya benki yadunia ambao unajumuishamiradi yabarabara yenyekiwango cha changarawe yenye zaidi kilometa 1056 ambapo mpango huo niwamajaribio ambao umepata mafanikio makubwa ''Alisema Katibu Mkuu Mhandisi Nyamhanga .

Mhandisi Nyamuhanga amesema kuwa serikali ipo katika mkakati wa utekelezaji wa awamu ya pili unaojulikana kama PMMR ambayo itajumuisha mikoa 10 ambapo zaidi yakilometa za barabara 3000zitafikiwa kwa kiwango cha lami .

Alisema serikali ipo katika kuweka mikakati ya muda mrefu ya matengenezo ya barabara za magari yaendayo haraka (BRT)Kwa uratibuPMMR.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13