RAIS MAGUFULI WATAKA WATUMISHI WA MAHAKAMA KUJIEPUSHA NA VITENDO VYA RUSHWA.
![]() |
RAIS wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Dk John pombe Magufuli |
RAIS wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Dk John pombe Magufuli amewataka watendaji wamahakama nchini kuweza kujiepusha navitendo vya rushwa pindi wanapotekeleza majukumu yao nakuwataka kuwa mfano bora wachombo kinachosimamia haki nchini .
Akizungumza jijini Dar es salaam katika kilele cha wiki ya sheria nchini Rais Magufuli amsema kuwa kumekuwa nachangamoto nyingi zinazoikabili mhimili huo wa pili nchini ikiwemo ucheweshaji wa upelelezi nakuweza kusababisha hali yaupatikanaji wa haki kuweza kucheleweshwa kupitia muhimili huo wadola .
''Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo kabili mahakama ikiwemo suala lakucheleweshwa kwa upelelezi wa baadhi ya kesi na mashauri nchini,utakuta ushaidi upo lakini una ambiwa upelezi unaendelea swala hili lina chewesha haki kutendeka kwa wakati ''Alisema Rais Dk. John Pombe Magufuli .
Rais Magufuli amesema kuwa kumekuwa natatizo lakupungua kwa uadilifu kwa baadhi ya watumishi wa mahakama nakuweza kuchafua sura nzuri ya chombo hicho katika hatua ya utoaji haki nchini .
Alisema watumishi 102 wamahakama hiyo wameweza kufukuzwa kutokana nakujihusisha navitendo vya rushwa ambapo nikinyume cha maadli ya taasisi hiyo nyeti nchini ambapo jumla ya watumishi 67 waliweza kufuzwa kazi .
Comments
Post a Comment