ACT YAIKOSOA SERIKALI .

Tokeo la picha la act wazalendo
Timothy Marko.
CHAMA cha ACT wazalendo nchini kimeikosoa serikali kuwa uchumi wa Tanzania kuwa umekuwa nakubainisha taarifa hizosizakweli kutokana na takwimu  za jalida la uingereza the Economist limeeleza kuwa uchumi wa Tanzania kuwa umeshuka kutoka asilimia 5.76 kwa kipindi cha mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 5.47 wakati huo huo chama hicho kimedai kuwa mwenendo wa haki za kiraia umeshuka kutoka pointi 5 katika kipindi cha 2016 nakufikia asilimia 4.7 mwaka huu .

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Katibu wa uenezi wa chama hicho Ado Shaibu amesema kuwa Ripoti ya uwazi katika bajeti (open budget index )inayotolewa nataasisi ya international budget pertineship ilionesha kuwa Tanzania imeshuka kwa kasi kwenye eneo la uwazi kwenye bajeti kwa kupata alama 10 ikilinganishwa na alama 46 ilizozipata mwaka 2016. .

''ushaidi mwingine nikupitia ujumbe wa baraza la maaskofu katoliki katika kipindi cha kwaresma ambapo kuneonekana kunyimwa kwa demokrasia nchini Tanzania tunawapongeza sana viongozi wadini kuonesha waziwazi kukandamizwa unao endelea nchini''Alisema Katibu wa unezi ACT Ado Shaibu .

Katibu wa uenezi shaibu alisema kuwa msemajiwaserikali aache tabia yakuchukua taarifa vipandevipande nakuziweka kwa umma nakusisitiza ripoti ya haki za binadamu nchini imeporomoka .

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13