TAKWIMU:KASI YA WA BEI ZA BIDHAA WAFIKIA ASILIMIA 4.0

Tokeo la picha la albina chuwa
MKURUGENZI WA OFISI YA TAKWIMU NCHINI DK.ALBINA CHUWA 

Timoth Marko
MFUMUKO wa bei kwa mwezi desember umepungua kutoka asilimia 4.0 ikilinganishwa na ikilinganishwa asilimia 4.4 kwakipindi cha mwezi November mwaka jana huku kasi ya mabadiliko yabei yabidhaa na huduma kwa mwezi Desember ikilinganishwa na kasi ya mambadiliko yabei za bidhaa kwa mwezi November 2017 .

Tokeo la picha la waandishi wa habari
BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAKIMSIKILIZA MKURUNGENZI WA OFISI YA TAWIMU JIJINI DAR ES SALAAM(PICHA NA MAKTABA)


Akizungumza nawaandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi mkuu wa ofisi ya Takwimu nchini Dk Albina chuwa amesema kuwa kupungua kwamfumuko wa bei kwa baadhi ya bidhaa za vyakula kwa kipindi hicho kumechangiwa nakupungua kwa bei ya unga wa muhogo kwasilimia 1.9 huku bidhaa kama nyama zikionesha kupungua kwa kasi yaupandajiwa bei kwa asilimi3.4 


''Bidhaa zingine zilizochangia kupungua kwa kasi yabei nipamoja nasamak
i 15.1 karanga 3.5,mbogamboga kwaasilimia 2.9 njegere kwa asilimia 7.5 wakati viazi mviringo vimepungua kasi yabei kwa 6.7 wakati viazi vitamu vimepungua asilimia 12.6''Alisema DK Alibina Chuwa .


Dk Chuwa alisema kuwa mwelekeo unaofanana wa mumuko wa bei katika nchi za afrika mashariki ikilinganishwa na TANZANIA kenya ulipungua kwa asilimia 4.50 kutoka 4.73 kwa mwezi november wakati nchini uganda ulipungua kwa asilimia 3.3 kwa mwezi desember ikilinganishwa namwezi november ambapo kasi yabei ilipungua kwa asilimia 4.0

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13