SERIKALI:TANZANIA YA ANZA KUPAA KIUCHUMI

Tokeo la picha la MKURUGENZI WA IDARA MAELEZO

Mkugenzi wa idara ya Habari na maelezo nchini Tanzania DK.Hassan Abbas 

Timothy Marko

Tanzania imekuwa barani afrika katika nchi zinazokuwa kwa kasi kiuchumi barani afrika ambapo ethopya imekuwa kinara kwa nchi zilizopo kaskazini mashariki mwa afrika ikifuatiwa na nchi ya Ivory Cost ,pamoja na senegali.


Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaamMkugenzi wa idara ya Habari na maelezo nchini Tanzania DK.Hassan Abbas  amsema kuwa nafasi hiyo ya Tanzania yakukua kiuchumi imetokana na ripoti ya benki yadunia (WB)pamoja na taasisi ya kifedha ya kimataifa IMF kuitabiria nchi hizo tano ikiwemo TANZANIA kukuwa kwa uchumiwake kwa asiilimia 6.5 nakufikia asilimia 7.0 kwa mwaka huu .


''Ripoti za shirika la fedha duniani (IMF)Pamoja na Benki ya Dunia (WB)sambamba na Taasisi ya Gold man sachs ya Marekani zimetabiri wakati uchumi wa dunia utakuwa kwa wastani wa asilimia 3.0 hadi 4.0 ukuwaji wa uchumi wa TANZANIA unatajwa kuendelea kwakati nchi tano bora za afrika ukitarajiwa kukua kwa asilimia6.5na 7.0 kwa mwaka huu''Alisema Dk.Hassan Abbas.


Mkurugenzi Dk.Abbas amesema hatua hiyo ya kuimarika kwa uchumi kumetokana na jitihada kusajili makampuni ya patayo 250 kupitia brela pamoja nakituo cha uwekezaji TIC nakuweka mikakati yausimamizi wa maeneo maalumu yakiuchumi yapatayo 41 nakuanza kusajili viwanda vidogo vidogo vijlikanavyo SIDO vyenyekuajiri mtu moja mbakawatu tisa ambapo jumla viwanda hivyo 2,721.
Alisema sambaba nakuwekeza kwenye viwanda vidogovidogo 2,721 pia serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha miradi ya nishati ipatayo 20 kinyerezi 1 mw 185 na kinyerezi 11 yenye uwezo wa MW 240 ,ambapo aliitaja miradimingine ikiwemo ujenzi wa reli wa standand gauge kilimometa 300 yenye thamani 2.7

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13