SERIKALI YAWATAKA WASAMBAZAJI WADAWA NCHINI KUFUATA MIONGOZO YA USAMBAZAJI DAWA
![]() |
WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU |
Timoth Marko.
SERIKALI imewataka wasambazaji madaktari na wauzaji wa dawa za bindamu nchini kuwezakufuata miongozo nakanuni za usambazaji wadawa kwa watumiaji wadawa hizo nakuwataka baadhi ya madaktari kutowaandikia wagonjwa dawa ambazo azijapewa miongozo na serikali .
Akizungumza jijini Dar es salaam Waziri wa Afya ,Maendeleo ya jamii jinsia wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuwa kumekuwa na tabia yabaadhi yawatalamu wa afya walipo katika baadhi ya hospitali za serikali huwaelekeza wananchi kununua dawa za binadamu ambazo hazijapewa miongozo na serikali nakuwalazimisha wananchi kununua dawa hizo katika maduka yadawa za binadamu yabinafsi kwa bei ya juu jambo ambalo nikinuyume na sera ya afya ya serikali.
''Niwataka watalamu wetu wa afya kufuata miongozo ya wizara afya yausambazaji nauuzaji wa dawa usimwandikie mwananchi dawa anayoitaka ila mwandikie dawa kwamujibu wa kanuni namiongozo yausambazaji wa dawa nchini kwani kutokufanyahivyo nikiukwaji wa maagizo ya wizara ya afya ''Alisema Waziri wa afya Ummy Mwalimu .
Waziri wa Afya Ummy alisema kuwa serikali tayari imeshatoa miongozo ya dawa zintakazotumika kutibu magonjwa ya kisukari na ukimwi nakuwataka walionavituo vya afya nchini kuwa na watalamu wenye sifa kwenye ngazi za halimashauri na wilaya .
Comments
Post a Comment