SERIKALI YATOA MUONGOZO WA MATUMIZI YA MWASILIANO .

Tokeo la picha la atashasta nditiye
NAIBU WAZIRI WA UJENZI UCHUKUZI NA MAWASILIANO MHANDISI ATASHASTA ANDITIYE AKIFAFA NUA JAMBO 
Timothy Marko.
Serikali imewataka watumiaji wa Mawasiliano ikiwemo mitandao ya kijamii kuzingatia utoaji taarifa wenye tija kwajamii nakuwataka wananchi ambao niwatumiaji wamitandao hiyo kuitumia vizuri ilikuweza kujiletea maendeleo ya kiuchumi .

Kauli hiyo imetolewa mapema hii leo jijini Dar es salaam na Naibu waziri wa Ujenzi uchukuzi na Mawasiliano  Mhandisi Atashstaditye wakati akizindua muongozo kwa watumiaji wahuduma na bidhaa za mawasilano nchini ambapo amesemakuwa sekta yamawasiliano imekuwa ikikuwa kwa kasi katika kipindi chahivi karibuni ambapo aliwataka wasimamizi wa sekta hiyo ambao ni mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA)Kuweka uwiano sawa katika kutoa huduma za mawasiliano .

''Sekta hii yamawasiliano imekuwa ikikuwa kwakasi ambapo katika sektahii kunawadau wanne ambao niwatoaji wahuduma wasambazaji wa huduma za mawasiliano walaji wahuduma za mawasiliano na wadhibiti wa huduma za mawasiliano ''Alisema Naibu waziri Atashasta .

Naibu waziri Atashasta alisema kuwa kumekuwa nachangamoto kubwa kwatumiaji wa huduma za mawasiliano kutoelewa namna nakanuni za utoaji huduma za mawasiliano hali iliyochangiwa kutoelewana kwa mtoajihuduma namtumiaji wahuduma za mawasiliano.

Alisema hatua yamtumiaji naulinzi wahuduma za mawasiliano kunaaanza na mtumiaji mwenyewe nakuwataka watumiaji wahuduma yakifedha kwahuduma yasimu kuwa makini

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine