KOMBE LA SHIRIKISHO, YANGA YAPEWA IHEFU, AZAM FC WAANGUKIA KWA SHUPAVU
Pamoja
na kwamba wengi waliamini Yanga itakutana na Mbao FC katika michuano ya
Kombe la Shirikisho la Azam Sports, mambo yamekwenda tofauti baadaya
Yanga kupangiwa Ihefu FC katika raundi ya tatu.
Wakati
Yanga inacheza na Ihefu, vigogo wengine Azam FC wao watakutana na timu
ya Shupavu F na Kagera Sugar wao watakuwa dhidi ya Busesere FC ya mkoani
Geita.
Mbao
FC wanakwenda kucheza dhidi ya Karianoo Lindi huku Mtibwa Sugar
wakikutana na Majimaji Rangers. Tanzania Prisons watakuwa na kazi dhidi
ya timu ngumu ya Burkina Fasso ya Morogoro na Mwadui FC watawavaa Dodoma
FC.
Comments
Post a Comment