Kilichotokea kwenye hukumu ya Scorpion Leo


Kilichotokea kwenye hukumu ya Scorpion Leo,Soma hapa zaidi

Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘martial arts’  Salum Njwete maarufu kama Scorpion, ya kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar kufuatia hakimu aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, Flora Haule, kusema bado hajakamilisha kuiandaa.



Hakimu huyo ameiharisha kesi hiyo mpaka Januari 22 mwaka huu ambapo amesema atatoa hukumu hiyo.  Kufuatia hali hiyo, Scorpion amerudishwa rumande mpaka tarehe hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13