CTI YAIOMBA SERIKALI KURUHUSU VIBALI VYA USAMBAJI SUKARI.
Mwenyekiti wa Shirikisho CTI Dk.Samwel nyantahe. |
SHIRIKISHO la viwanda nchini (CTI)imeiomba serikali kuweza kutoa vibali vya usambazaji sukari ilikuweza kunusuru sekta yaviwanda vyavinjwaji nchini ambayo hutumia sukari hiyo ilkuweza kuzalisha bidhaa hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwenyekiti wa Shirikisho hilo Dk.Samweli Nyantahe amesema kuwa kwazaidi yamiaka mitatu kumekuwa natatizo lakuadimika kwa sukari za viwandani jambo linalo weka baadhi yaviwanda vinavyozalisha bidhaa hiyo kusua sua katika uzalishaji .
''Hali hii imepelekea kwa baadhi yawafanyabishara wasioaaminifu kuanza kuchanganya sukari yakaaida ambayo inatozo yasilimia 12wakati sukari yaviwandani ikitozwa kwa asilimia15 kodi yamapato nakusabisha viwanda hivyo kurejeshewa shilingi bilioni25kwenye viwanda vikubwa ''Alisema Dk.samweli Nyantahe
Mwenyekiti Dk.Nyantahe amesema kuwa kutokana na tozo hiyo inatarajikupeleka ombi kwa wizara ya viwanda ilikuweza kufanya majadiliano juu yatozo hilo ilikuweza kunusuru sekta viwanda vyavinywaji ambayo hutumia malighafi hiyo .
Amesema kuwa wafanyabisharawengi tayari wameshaagiza sukali ila wanaimbombakutoa vibali hivyo bandarini ilikutoa bidhaa hiyo adimu katika viwanda nakusitiza kuwa hatua ya serikali kuzuia sukali hiyokuta sabisha ukosefu wa ajira kwa baadhisekta za usambazaji sukari nchini.
Comments
Post a Comment