ViongoZi watakiwa kujitathimini katika maamuzi yao

Timothy Marko.
Viongozi nchini wametakiwa kutafakari maamuzi yao pindi wamapokutana jamii husika.

Hayo yamebainishwa na mhadhiri WA taasisi ya uongozi institute zuhura murowakati akizungumza katila kongano wenyeviti wa serikali za mitaa alat amesema kuwa kiongozi anayeongozalazima ajitafakari maamuzi take ka bla kuifikia jamii

"Nilazima fikra zako ziwe mbegu katika kkuiongoza jamii ,suala la mahusiano nlmuhimu katika jamii" alisema zuhura murro.
Murro alisema kiongozi yeyote nilazimaaheshimu mahusiano ndani yajamii inayowazunguka .
Alisema kiongozi yeyote hawezi kufanikiwapasipokuwa na mahusiano mazuri yanayo wazuka.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13