Wakimbizi 35,000 wa Rohingya kutoka Myanmar wawasili Bangladesh ndani ya saa 24

A Rohingya refugee woman holds her child as they walk on the muddy path after crossing the Bangladesh-Myanmar border in Teknaf, Bangladesh, 3 September 2017Idadi ya watu wa jamii ya Rohinhya wanaovuka kutoka Myanmar na kuingia nchini Bangladesh imeongeka kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa huku zaidi ya watu 35,000 wakiwasili ndani ya saa 24 zilizopita.
Mtandao wa BBC
Zaidi ya watu 123,000 wanaripotiwa kukimbia ghasia katika jimbo la Rakhine nchini Myanbar tangu tarehe 25 mwezi Agosti mwaka huu.
Mzozo huo uliibuka wakati wanamgambo wa Rohingaya walishambulia vituo vya polisi.Hii ilisababisha jeshi kuingilia kati hatua ambayo imesababisha maelfu ya watu wa Rohingaya kuhama vijiji vyao.
Jamii ya Rohingya ni watu wasio na uraia ambao wamekubwa na na mateso nchini Myanmar. Wengi wa wale ambao wamehama wamesema kuwa jeshi linachoma vijiji vyao na kuwashambulia raia katika harakati za kuwatimua.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13