TRL YASITISHA HUDUMA ZAKE KIGOMA HADI SEPT 19
KAIMU MKURUGENZI WA TRL Focus Makoye |
SHIRIKA la reli nchini (TRL)limesitisha huduma zake kwa wasafiri wanao elekea Morogoro Mazimbu baada ya Daraja lamazimbu kujaa maji hali iliyochangiwa na mvua kuwa iliyonyesha hivi karibuni katika eneohilo .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo Focus Makoye Amesema kuwa jumla yakilometa 209 za daraja hilo lifunikwa maji yaliyo tokana mvuakubwa iliyoyesha mei 13 mwaka huu majira ya saa tano usiku.
''kwasasa tayari imeshafanywa tathiini yakifundi nakuthibitisha nihatari kuendelea kupitisha treni bila kuimarisha miundombinu yareli zaidi uongozi umeonelea ifanye marekebisho katika eneo hilo ilikuhakikisha usalama wa biria unaimarika ''Alisema Focus MAKOYE .
Makoye alisema kutokana nakuharibika kwamiundombinu ya reli yakampuni hiyo shirika hilo limelazimika kubadili ratibazake mbaka tarehe 19 september kwa watumiaji wanaoenda mwanza nakigoma kuja Dar es salaam naratiba zake kusitishwa .
Alisema wananchi wanapaswa kuzingatia ratiba hizo ilikuweza kuwesha shirika hilo kuboresha hudumazake iliwananchi waweze hufurahia huduma hiyo.
Comments
Post a Comment