TRA YAWASHUKIA WAFANYABISHARA WA KUBAHATISHA .

Image result for richard kayombo tra

Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi

Richard Kayombo  TRA


Timoth Marko .

MAMLAKA ya ukusanyaji Mapato nchini (TRA) imewataka wafanyabiashara wanajihusisha namichezo yakubahatisha kuweza kulipa kodi

 .

Agizo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa huduma kwa mlipa kodi Richard Kayombo ambapo amesemakuwa ukusanyaji huo wa kodi utajumuisha casino mbalimbali huduma yakubeti michezo mbalimbali na michezo yakubahatisha kwa njia yasimu .


''ukusanyaji wakodi katika michezo yakubahatisha unafanywa kwavipindi mbalimbali ambapo Kasino zote zinapaswa kujesha majesho mbalimbali kila wiki wakati michezo mingine itarejesha marejesho kila mwezi ''Alisema  Richard kayombo .


Kayombo alisemakuwa kwaupande wachezaji wanaocheza michezo hiyo wanatakiwa kurejesha asilimia 15 yamapato kwa cassino wakati spoti bettingi ni asilimia 6.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13