POSTA :TUMERUDI KWENYE RELI YA STARNDARD GAUGE.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akimkaribisha Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa (wa pili kulia), kuzungumza katika mkutano wa Mwenyekiti wa Bodi ya shirika, Dk. Harun Kondo (kulia), Menejimenti na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa shirika hilo, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Timothy Marko 
SHIRIKA la Posta nchini Tanzania limeanza mchakato wakuwabainisha wafanyakazi hewa waliopo katika shirika hilo ilikuweza kukabiliana navitendo vyarushwa naupotevu wa mapato ilikuweza kuhakikisha shirika hilo linakuwa kiuchumi na kuleta tija katika Taifa .
Akizungumza katika uzinduzi wa kikao cha bodi cha shirika hilo Mkurugenzi mtendaji wa Shilika la posta nchini Dk.Harrun Kombo amesema kuwa katika kipindi cha mwaka2015/17 limeweza kustahiki katika kuliendesha shirika hilo .baini jumla yawafanyakazi 69 ambaowamebainika kutokuwa na sifa 
 

'''Tayari tumeshabaini idadi yawafanyakazi hewa ikiwemo wafanyakazi wenye vyeti feki wapatao wafanyakazi 69 baada ya hapa tunataka kufanya mabadiliko katika shirika hili ikiwemo kuboresha huduma za logistic pamamoja na E-commarce ''Alisema Dk. Harun Kondo .

Dk.Kondo alisema kuwa shirika hilo limedhamilia kuwa shirika la umma  litakalowahudumia wanajamii nakutoa huduma zake ilikuweza kukidhi kiu yawananchi wanaotumia shirika hilo .

ALISEMA Tangu kiongozi huyo washirika hilo aingiemadarakani kumekuwa namabadiliko makubwa ikiwemo kuongezeka kwa mapato kutoka shilingi bilioni 3hadi kufikia shilingi bilioni 4.

''Sasa hivi shirika laposta lina uadilifu wafanyakazi wamekuwa wakijituma zaidi kwani tumerudi kwenye reli na reli yenyewe ni ya starndard gauge ''Aliongeza KONDO .

 

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13