JIJI LADAR ES SALAAM LAINGIA MAKUBALIANO NA CHINA

Image result for isaya mwita

Meya wa jiji la DAR ES SALAAM  Isaya Mwita Akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani leo 

Timothy Marko 

KATIKA kuhakikisha jiji la Dar es salaam linakuwa jiji la kimataifa linalohamasisha utalii wa ndani na nje jiji hilo limeingia makubaliano namakampuni yakutoka nchini china ilikuweza kuboresha miundombinu ikiwemo barabara zajuu katika wilaya ya ubungo .


Akizungumza Katika makubaliano hayo jijini Dar es salaam Meya wa jiji hilo Isaya Mwita amesema kuwa jiji hilo linavutiwa nawawekezaji wakutoka nchini china kuja kuwekeza katika miradi mbalimbali ikiwemo miradi ya bandari na upanuzi wa bandari yakurasini pamoja namradi yabarabara za juu katika wilaya ubungo .


''Leo tumepata ujumbe kutoka china wa baadhi ya makampuni yajenzi namakampuni mbalimali kutoka nchini china kutaka kuwekeza katikasekta yamiundombinu ilikufanya jiji la Dar es salam kuwa jiji lakimataifa ''Alisema Meya wajiji Isaya mwita 

 

Kwa upandewake muwakilishi wa ujumbe wakutoka nchini china Dk.chain amesema TANZANIA ninchi nzuri yenyemazingira wezeshi katika kuwekeza hivyo aliwataka wafanyabishara na wadau mbalimbali nchini china kuweza kuwekeza nchini .

 

Alisema kuwa nilazma watakapokwenda nyumbani kwaonchini china wataitangaza nchi ya TANZANIA kuwa ninchi nzuri kwa uwekezaji .

 

''tunakwenda nyumbani kupeleka ujumbe kuwa tanzania nisehemu sahihi nasalama yenye mazingira wezeshi katikaviwanda na miundombinu ''Alisema Dk.chaain .

ALIYEFUATANA na ujumbe huo Eswang amesema kuwa TANZANIA ni nchini nzuri katika kutekeleza uwekezaji wamiradi mikubwa .


Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine