JESHI LA POLISI KUNDELEA NA UCHUNGUZI OFISI YA MAWAKILI DAR

Image result for kamanda wa polisi kanda maalum ya dar es salaam 

Timoth Marko 

Image result for lazaro mambosasa

Kamishina wakanda maaluum LAZARO Mambosasa

Jeshi la polisi kanda maaluum jijini  Dar es salaam limesema kuwa tayari limekwisha kupata taarifa yakuvunjwa kwa ofisi ya mawakili itwayo Prime Attorney iliyopo jijiji Dar es salaam ambapo ofisi hiyo ilivamiwa nakuporwa shilingi milioni 37 sambamba na laptop mbili pamoja na nyaraka .

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Kamishina wakanda maaluum LAZARO Mambosasa amesema kuwa jeshi hilo linaendelea naupelezi ambapo taarifa za awali zilionesha ndugu Hudson ndusyepo ambaye niwakili wakampuni hiyo waliweza kufanya mahojiano na jeshi hilo

''mlinzi huyo alieleza kuwa akiwa lindoni wanaume watatu ambao walimvamia mlinzihuyo nakumfunga kamba naplasta mikononi miguuni ambapo ghafla waliongezeka nakuwa wanane nakufnikiwa kuvunja mlango  nakuingia ndani ambapo uchunguzi unaendelea ''Alisema RPC LAZARO MAMBOSASA .

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13