DPP AMFUTIA MASHITAKA MANJI AMWACHIA HURU

Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji yuko huru baada ya mahakama kumuachia.

Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), amefuta mashikata ya kesi ya uhaini iliyokuwa inamkabiri Manji baada ya kuwasilisha mahakamani nia ya kutotaka kuendelea kumshitaki.

Manji ameachiwa huru leo katika mahakama ya Kisutu baada ya kusota gerezani Keko akiwa mahabusu.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13