TANZANIA YAISHUKIA GEOPAL
Mkurugenzi wa ofisi ya Takwimu nchini DK.Albina CHUWA |
OFISI ya Takwimu nchini Tanzania imeitaka Taasisi inayo jishughulisha na masuala takwimu nchini kenya
(geopal ) kutotoa takwimu za uongo kusiana na maswalambalimbali nchini nabadala yake waweze kufuata taratibu za ukusanyaji Takwimu kutoka kwenye vyanzo sahihi .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa ofisi ya Takwimu nchini DK.Albina chuwa amesema taarifa zilizotolewa na taasisi hiyo sio sahihi na kutaka ukusanyaji wasampuli zihusishe wadau sahihi nasampuli za kutosha .
'Takwimu zinaweza kutumika endapo kuna uwazi wa methodolojia na taaluma za masuala ya utafiti wa takwimu ''Alisema chuwa
Chuwa alisema Takwimu zisizo tambulika haziwezi kutumika katika nyanya yamaendeleo.
Comments
Post a Comment