TANZANIA KUUZA SUKARI NCHI ZA SADECC

Image result for charles mwijage

Waziri wa Biashara na uwekezaji Charles Mwijage




Timothy Marko
SERIKALI imewataka wafanyabishara nchini kuweza kuuza bidhaa yasukari katika nchi za ukanda wa SADEC pasipo vikwazo vyakifordha katika nchi zilipo katika ukanda huo ilikuweza kuchochea maendeleo yakiuchumi yanayotaokana na biashara baina yanchi hizo.

Hatua hiyo yaserikali kuruhusu bidhaa hiyo kuruhusiwa kuuzwa nje yanchi imetokana nakukua kwakiwango cha uzalishajiwa sukari kuweza kupanda kutoka tani laki 3.2 hadi kufikia tani milioni mbili ambapo kiwango hicho kimetajwa nichakuridhisha nakutaka wafanyabishara kufanya uwekezaji wa bidhaa hiyo.

Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Waziri wa Biashara na uwekezaji Charles Mwijage amesema kuwa jumuhia wa nchi zilizokusini mwa Afrika imeitaka Tanzania kuweza kuuza bidhaa hiyo kwa kwakipindi cha miaka mitatu .

''Tumekuwa tukiagiza sukari nchini Brazili lakini nchi za Sadec imetaka Tanzania kuweza kuleta sukali ili kuweza kupambana nauhaba wasukari baina nchihizo ''Alisema mwijage .

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13