SERIKALI YABAINI UBADILIFU KATIKA HUDUMA ZA HATI PUNGUZO
SERIKALI imesema kuwa hatua yake ya kusitisha huduma ya hati punguzo katika upatikanaji huduma ya afya ktwa wananchi imetokana na baadhi yawatendaji waserikali kutokuwa wa waa minifu kutowafikishia wananchi huduma hiyo kwa wakati.
Hayo yamebanishwa na Kaimu Mkurugenzi wa mpango wa kudhibiti malaria wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto charles mwalimu amesema kuwa kumekuwa na baadhi ya watendaji wamekuwa wakitumia mpango wa hati punguzo vibaya kwa udanganyifu hali iliyo pelekea waisani wanaoratibu mpango huo kutoka nchini uingereza kusitisha .
"mpango huu ulikuwa unaratidiwa na shirika la DFID la kutoka nchini uingereza lakini kumekuwa na udanganyifu juu ya mpango huo kwa baadhii ya watendaji wa serikali kunufaika kinyume cha sheria hali iliyo pelekea baadhii ya waisani kutoka nchini uingereza kusitisha mpango huo "alisema charles mwalimu
vilevile tukibaini vyandarua vilivyo gawia mashuleni kwa kutokuwa matumizi stahiki serikali haitosita kuwachukulia hatua watendaji wa serikali ikiwemo wenyeviti wa serikali za mitaa na watendaji wa vijiji.
kwa upande wake mkuu wa kitengo cha uchunguzi wa matibabu wa wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Dk. sixbert mkude amesema kuwa vyandarua vinavyotumika vimewekewa viwatilifu na kufanyiwa utafiti na shirika la afya duniani WHO na kusisitiza kuwa vyandarua hivyo havina madhara kwa jamii hivyo amewaomba wananchi kutokuwa na wasiwasi wa utumiaji wa vyandarua hivyo
Comments
Post a Comment