PAUL MAKONDA:SIO MAKOSA KUINGIA NA ASKARI KWENYE CHOMBO CHA HABARI.

Timothy Marko.

HATIMAYE ule mgogoro wa kutoandikwa kwenye vyombo vya habari  kati ya Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar es salaam Paul Makonda na Waandishi wa Habari umemalizika hii leo.

Mgororo huo uliochukua mwaka umemalizika ,ambapo kiongozi huyo aliingia katika chombo cha runinga ya CLOUDS nakulazimisha maudhui yahabari yanayomlenga Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo nauzima kuoneshwa umemalizika na kiongozi huyo kuhaidi kuendelea kukuza ushirikiano nawandishi wa habari .

Akizungumza katika mkutano wajukwaa la wa hariri jijini Dar es salaam Paul Makonda amesema kuwa hatua ya jukwaa hilo kutoa adhabu kwake ilikuwa nisahihi ,nakusisitiza kuwa kitendo cha kuingia naskari katika ofisi ya clouds hakikuwa cha kushangaza kwani yeyenimwenyekiti waulinzi nausalama wajiji hilo hivyo nilazima awe namaafisa usalama muda wote .

Image result for mwenyekiti wa jukwaa la wahaririImage result for paul makonda
MKUU WAMKOA WA DAR ES ALAAM PAUL MAKONDA.
''Askari wanajukumu lakulinda usalama wangu nanyinyi pia hatuna haja yakulumbana hapa  kwani sisi wote tunafanya kazi kwamanufaa yawatanzania na taifa kwaujumla''Alisema Mkuu wa Mkoa Paul Makonda .

Makonda alisema kuwa amefahamu kuwa yeye nakampuni ya clouds nikama familia kwani yeye anaupendo wadhati navyombovya habarinakusisitiza uthamani wa vyombo vya habari hautobadilka nakusitiza anawakaribisha kwenye mikutano yake .

Mkurugenzi wa vipindi wa kituo cha Runinga cha Clouds Ruge Mtahaba amesema kuwa mgogoro huo umekwisha kuwa na wao wote wawili wapo chini ya Rais Jonh Pombe Magufuli nakutaka kuheshimu maamuzi ya Kiongozi huyo kwani yeye ndio mwenye kauli yamwisho juu yamgoro huo .

Alisema haina haja ya Rais MAGUFULI kutupatanisha halafu sisi tukaendelea kushikilia msimamo wetu kwani wao ni abiria wanaoendeshwa na Rais .

''Haimati sana huku nyuma hatukosawa na upande mwingine uposawa sisi niabiria tupo nyuma yaroli na dereva wetu nimheshimiwa RAIS ''alisema Ruge mtahaba .

Kwaupande wake Mwenyekiti wajuukwaa la wahariri nchini (TEF) Theophili Makunga kitendo cha kuingia kwenye kituo chatelevisheni kwakiongozi huyo akiwa naaskali nimakosa kwani kinaharisha usalama wanchi nakutaka watu walionatabiahiyo kutofanya hivyo .



Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13