NEEC YAWATAKA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA UJENZI WABOMBA LA MAFUTA NCHINI UGANDA.

Image result for john jingu tanzania
MWENYEKITI wa Baraza la uwezeshaji (NEEC)Wananchi Kiuchumi John jingu
Timothy Marko.
MWENYEKITI wa Baraza la uwezeshaji (NEEC)Wananchi Kiuchumi John jingu Amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli kuweza kufanya mazungumzo ya ujenzi wa bomba la Mafuta kutoka uganda hadi bandari ya Tanga nakusisiza kuwa uamuzi huo unatija kwa Taifa .

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Jingu amesema kuwa mradi huo unamanufaa mengi yakiuchumi kwanchi ya Tanzania kwani ujenzi wa bomba hilo kutawezesha kuzalisha ajira nyingi nakuleta tija kwa Taifa .

''Mradi huu unafursa kubwa katika nchiyetu kwani utazalisha ajiranyingi ikiwemo mama ntilie mafundi mbalimbali nakuwawezesha watalamu wamradi huo nchini kuweza kukuza uchumi ''Alisema Jonh jingu .

Jingu alisema kuwa nivyema wananchi wamkoa watanga kujitokeza zaidi wakati RAIS MAGUFULI atakapoweka jiwe lamsingi kwenye mradi huo.

Alisema Hatua hiyo itawezesha taasisi za kibenki kuweza kupata fedha mbaimbali kutokana nauwekezaji kwenye mradi huo.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13