MWAKYEMBE AWATAKA WADAU WAMICHEZO KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.

Image result for HARRISON MWAKYEMBE
WAZIRI WA HABARI SANAA NAMICHEZO DK.HARRISON MWAKYEMBE

Timothy Marko
Waziri wa Habari Sanaa na Michezo Dk.Harisson Mwakyembe amesema serikali ya awamu yatano itaendelea kuhimiza michezo ilikuleta maendeleo ya kiuchumi kupitia sekta hiyo .

Akizungumza katika ufunguziwa mashindano yamagari katika bara la afrika lililojumuisha nchi za malawi zambia kenya uganda na Tanzania Mwakyembe amesema kuwa kupitia sekta yamichezo tutaweza kukuza utalii wanchi zilizopo barani afrika nakuweza kukuza pato la taifa .

''Nimelezwa kuwa mwenyeji wa mashindano haya ni Dar es salaam napwani hii itatusadia kukuza utalii ambapo nchi mbalimbali za uganda kenya zambia na Tanzania zitashiriki katika ukuzaji wa sekta ya utalii kuptia michezo ''ALISEMA mwakyembe

WAZIRI Mwakyembe aliwataka washiriki wamashindano hayo kuweza kuzingatia sheria na alama za barabarani ilikuepukana naajali nchini ,

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13