RAIS WA MISRI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM.

MIS3
Rais wa Jamhuri ya  Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi akiwasili nchini  leo kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili. Apokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania  Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13