MHE. SPIKA JOB NDUGAI AMEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA UMOJA WA FALME ZA KIARAB

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
ametembelela Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu lililopo Abu Dhabi na
kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge hilo, Mhe. Dkt. Amal Al Qubaisi
ambapo amewasilisha mapendekezo rasmi ya kuanzisha umoja na urafiki wa
kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme za
Kiarabu.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akisalimiana na Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Dkt.
Amal Al Qubaisi baada ya kutembelea Bunge hilo na kufanya nae mazungumzo
ambapo pia amewasilisha mapendekezo rasmi ya kuanzisha umoja na
urafiki wa kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Bunge la Umoja wa Falme
za Kiarabu ambayo yamekubaliwa

Mhe. Spika Job Ndugai akikasaini
kitabu cha wageni wakati alipotembelea Bunge la Umoja wa Falme za
Kiarabu huku akiangaliwa na Spika wa Bunge hilo, Mh. Dkt. Amal Al
Qubaisi (katikati) na Katibu wa Bunge Ndg. Ahmed Shabeeb.

Mhe. Spika Job Ndugai akikabidhi ujumbe wake maalum kwa Spika wa Bunge la Umoja wa Falme za Kiarabu, Mh. Dkt. Amal Al Qubaisi.
Comments
Post a Comment