MGOMBEA TFFAHOJI SUALA URAIA KATIKA UCHAGUZI.


Image result for IMANI MADEGATimothy Marko.

MGOMBEA wa kiti cha Urais wa Chama cha Soka nchini Tanzania(TFF) Imani Madega amesema kuwa suala la kuwekewa kwa pingamizi wa mgombea mwenza Osca karia kuwa Sio raia wa Tanzania Serikali ndiyo yenye mamlaka yamkumuwekea pingamizi nasio chama chasoka cha nchi hiyo
.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Madega amesema hatua yakuwekewa kwapingamizi kwamgombea huyo linatakiwa libainishwe na mamlaka za idara ya uhamiaji nchini nasio chama cha soka .

''Unapogusa uraia wamtu serikali inapaswa kutoa majibu nasio chama cha soka hivyo ingekuwa vizuri jukumu hilo ingepewa idara yauhamiaji nasio chama chasoka nchini ,lakini kigezo kikubwa chakuwa mgombea wa TFF nikuwa umemaliza kidato cha nne lakini nashangaa suala lauraia limetoka wapi ''Alisema Imani Madega .

Madega alisema kuwa suala lauraia halihitaji pingamizi kutoka Chama chasoka suala hili nilakitaifa kila mtanzania anahaki yakuhoji uhalali wamgombea huyo nakusitiza kuwa kama yeye mgombea wa urais wa chama hicho alitaka kujua hatima yamgombea mwezake inafika wapi .
Alisema vyombo vyahabari lazima iweke ajenda muhimu kwakiongozi huyo kwasula lauraia wake nakuweza kulitafutia majibu katika vyombo vyaulinzi nausalama ikiwemo idara ya uhamiaji.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13