HAMATIMAYE TUNDU LISSU ATOKA KWA DHAMANA.

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu apata dhamana baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa takribani masaa 48 kwa tuhuma za uchochezi na kusema hadharani makosa ya Rais.
- Lissu ameachiwa kwa masharti ya kuripoti kituo cha Polisi siku ya Jumatatu ijayo, muda wowote atakapopata nafasi.
Comments
Post a Comment