BAKITA YA WATAKA WATALAMU WA KISWAHLI KUJITOKEZA

Image result for katibu mtendaji wa baraza la kiswahili

Katibu Mtendaji WA BAKITA Dk.Selemani SEWANGI

 

Timoth Marko.
BARAZA la kiswahili limewataka watalamu wa kiswahili nchini kuweza kukusanya nyaraka zao ikiwemo vyeti vyakitaluma vinavyohusiana na taaluma hiyo ikiuweza kujipatia ajira kutokana na taaluma hiyo ndani na nje ya nchi .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji wabaraza hilo Dk.Selemani sewangi amesema kuwa ukusanyaji wa nyaraka hizo kutawezesha kuwapata wataamu mbali mbali wa sekta hiyo ajira pindi wanapohitajika kwa majukumu yakitaifa nakuratibu shughuli mbalimbali ikiwa pamoja kurahisisha mmafunzo hayo.

''kuwa  nawatalamu wakiswahili nijambo moja nakuwa nataarifa zao nijambo jingine ilikuweza kujua Tanzania inawatalamu wangapi nawanauwezo gani ''Alisema Selemani Sewangi.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13