WATU SITA WENYE UALBINO KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.
WANAWAKE wapatao sita wenye ualbino barani afrika wanatarajia kuwea mlima kilimanjaro september mwaka huu .
Hatua ya wanawake hao sita wenye ualbino kupanda mlima kilimanjaro imetokana na mpango uliobuniwa namwanaharakati wa haki za binadamu nampiganiamabadiliko Jane Waithera kubuni mpango huo .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mratibu wa Mpango huo Elia Saikaly amesema kuwa hatua ya kuwahusisha watu wenye ualbino kupanda mlima ni yakwanza ikiwahusisha wanawake walio na asili ya ualbino nchini kuweza kukwea mlima huo .
''shirika la under the Same sun linalotetea haki na ustawi wa watu wenye ualbino kwakuwaelimisha jamii nakuondokana mitizamo hasi za kifkra mbaya juu yawatu wenye ualbino'' Alisema Mratibu wampango Elia SAIKALY
Saikaly alisema kuwa mlima kilimanjaro umejizolea umaarufu mkubwa ambao unashikanafasi yapili kwa urefu baada yasafu yamilima yahimalaya iliyopo katika bara la Asia nakusisitiza kuwa hatua yakupanda mlima huo uta wezesha kiaminisha jamii kuwa ndoto zinaweza kutimia .
Comments
Post a Comment