MFUMUKO WABEI WAFIKIA ASILIMIA 4.1

Tokeo la picha la ephraim kwesigabo

Mkurugenzi wa Takwimu za uchumi na watu Ephraim Kwesigabo 

Timothy Marko.
MFUMUKO  wa bei za bidhaa na huduma katika mwezi Februari nchini umefikia asilimia 4.1 ikilinganishwa asilimia 4.0 kwamwezi januari mwaka jana Wakati huo huo katika nchi  kenya mfumuko wabei kwakipindi kinachoishia mwezi huo umepungua kwa asilimia4.46 kwa mwaka huu .

Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Takwimu za uchumi na watu Ephraim Kwesigabo amsemakuwa hali hiyo imetokana na mabadilko yabei za bidhaa na huduma kuongezeka ikilinganishwa nakasi hiyo katika kipindi cha mwezi januari mwaka huu.

''Baadhi ya bidhaa zisizo za vyakula zilizochangia kuongezeka kwa bei katika kipindi cha mwezi Februari mwaka huu na namwaka jana nipamoja na Mafuta ya taa kwa asilimia 9.9 ikifuatiwa namafuta yapetroli ambayo ni asilimia 13.1 wakati dizeli asilimia 11.3 ''Alisema Mkurugenzi Ephraimu Kwesigabo 

Mkurugenzi wa Takwimu za uchumi na watu  Kwesigabo amsemakuwa katika nchi ya uganda mfumuko wabei umepungua kwa asilimia 2.1 toka 3.0 huku kenya mfumuko wa bei umepungua kwa asilimia 4.6  toka 4.83 


Alisema kutokana nasheria yamwaka 2015 ofisi hiyo imepewa mamlaka yakutoa nakusimamia nakuratibu upatikanaji wa Takwimu rasminchini ikiwemo takwimu za mfumuko wabei nchini .

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13