TRA YAENDESHA ZOEZI LA USAJILI KWA MLIPA KODI

Tokeo la picha la richard kayombo

Mkurugenzi Wa elimu kwamlipa kodiTRA ,Richard kayombO


Timothy Marko.
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA)imesema inatarajia kuendelea na zoezi la usajili wa taarifa za walipakodi wapya ilikuweza idadi ya walipakodi milioni nane ilkuweza kutimiza lengo la ukusanyaji wa shilingi milioni 150 kwa wafanyabishara wadogo wadogo .

Akizungumza katika zoezi lausajili wa walipa kodi wapya lililofanyika jijini Dar es salaam Kamishina wa kodi za ndani wa mamlaka hiyo Elijah Mwandumbya amesema kuwa hadi hivi sasa taasisi hiyo yenye dhamana kukusanya kodi nchini tayari imeshawafikia nakuwa sajili walipa kodi milioni 12.6
''Kumekuwa na mwamko mkubwa katika kipindi hiki cha serikali ya awamu yatano katika kulipa kodi ikilinganishwa na hapo awali hadi hivi sasa hakuna mabadiliko ya kodi viwango ni vilevile vya awamu iliyopita ''Alisema Kamishina wa kodi za ndani Elijah Mwandumbya.
Kamishina wakodi za ndani Mwandumbya amesema kuwa hadi hivisasa makadirio ya mfanyabishara mdogo katika viwango vyakodi nikati ya shilingi 15000 hadi shilingi 800000 kwa mwaka ambapo katika kipindi cha miaka2017/18 taasisi hiyo inalenga kufikia wateja milioni nane nakuilieta serikali shilingi milioni 150 kwa mwaka.

Aidha,Mkurugenzi Wa elimu kwamlipa kodi Richard kayombo taasisi yake itahakikisha kilamwananchi atapatiwa tin ilikuweza kulipa kodi ambapo zoezi la awali alausajili walipakodi litaanzia  chanika .

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13