SIMU NYINGINE KALI IKIWA YA KWANZA KUTOKA TECNO
TECNO kampuni ya simu za mkononi iliyojizolea umaarufu barani Africa na Mashariki ya kati kupitia uzalishaji wake wa simu janja (smart phone) imeendelea kushika chati katika masoko mbalimbali barani Afrika.
Kama ilivyo kwa kila mwaka, kampuni ya TECNO huzindua simu mpya na hua ni muendelezo wa matoleo yaliopita. Kwa mwaka huu TECNO wanaachilia simu ikiwa ni muendelezo wa simu aina ya CAMON. Camon imekua moja wapo ya simu janja (smartphone) pendwa sana kwa wadau kwa mwaka 2017!
Wanatarajia kuachilia simu hio
ndani ya miezi ya kwanza (Januari – March) mwaka huu na itakua ni simu
ya kipekee kwani itakua na vigezo maalumu kulinganisha na simu zingine
zilizopita kabla!
Comments
Post a Comment