WAdau wa usambazaji wa dawa afrika Masha riki wakutana

Timoth y Marko  
Mamlaka ya dawa nchini TFDA imewataka wasambazaji wadawa zabinadamu nchini kuweza kujisajili dawazao kabla ya kuzisambaza kwa walaji wadawa hizo.

Akizungumza katika mkutano wa wadau wa dawa ukanda wa afrika mashariki jijini Mkurugenzi mtendaji waTFDA Iiti silo  amesema kuwa nivyema nchi wanachama wa jumuhia hiyo kuzingatia suala ubora wa dawa
"'Suala la uthibiti wadawa niswala muhimu kwani sekta hii ni muhimu kwa ustawi wananchi ''alisema itisilo.

Kwa upande wake katibu wa wizara afyamaendeleo jamii wazee watoto uledi ulisibisya amesema kikao hicho nimwendelezo wa maadhimio ambapo kikao cha mwisho kinatarajia kufanyika nchini Uganda.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13