MAUZO YA HISA YAPUNGUA JIJINI DAR ES SALAAM
Afisa mwandamizi wasoko la hisa dse Mary kinabo |
KIWANGO chamauzo yahisa katika soko lahisa la Dar es salaam (DSE)kimeweza kupungua kutoka shilingi bilionitatu kwa wiki liyopita hadi kufikia shilingi bilioni 1.5 kwa mwezi Oktoba mwaka huu huku ukubwa wamtajiwa mamakapuni yaliyo orordheshwa katika soko hilo umeongezeka kutoka shilingi 431bilioni hadi kufikia trioni 20.3
Ongezeko hilo limetokana na kupanda kwa bei ya hisa kwenye benki ya kibishara ya Akiba ikifuatuatiwa kampuni ya mawasiliano yavodacom kwa asilimia 15na kampuni ya natioonal meadia group kwa asilimia 1.27
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Afisa mwandamizi wasoko hilo Mary kinabo amesema kuwa kiashiria cha makampuni yandani yaliyo jiorodheshwa katika soko hilo kimepanda kutoka pointi 2.116 hadi kufikia ponti 2.162hali iliyochangiwa kwabei za Accacia mining ,vodacom national media group .
''Kishiria cha makapuni yandani yani TSI kimepanda kwaponti71kutoka ponti3742 hadi pointi 3814 wakati huo huo sekta yaviwanda kimepanda kwaponti 17 kutoka pointi5,143 hadi 5161.''Alisema Mary kinabo
Comments
Post a Comment