La Liga yaishitaki Man city, matumizi makubwa ya fedha

Man City imekuwa na mabadiliko makubwa tokea kuchukuliwa na wamiliki wa Abu Dhabi mwaka 2008Shirikisho la soka nchini Hispania (La Liga) limeliandikia barua shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) wakitoa malalamiko kuhusu ukiukwaji wa sheria za matumizi Financia Fair Play (FFP) unaofanywa na klabu ya Man City.
MTADAO WA BBC
Raisi wa La Liga Javier Tebas alitoa malalamimo kuhusu wamiliki wa klabu ya Manchester City ambao pia ni wamiliki wa klabu ya PSG kutokana na matumizi makubwa ya kifedha wanayoyafanya.

Lakini baadaye shirikisho la soka la UEFA lilitoa majibu kuhusiana na barua iliyoandikwa na Rais wa La Liga kwa kusema kwamba shirikisho hilo halitaichunguza klabu hiyo na taarifa nyingine kinyume na hapo ni uongo.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13