WANAFUNZI WA LUCK VICENT WAREJEA KUTOKA NCHINI MAREKANI WALIKOKUWA WAKITIBIWA MAJERAHA YA AJALI ZI WA LUCK VICENT WAREJEA KUTOKA NCHINI MAREKANI WALIKOKUWA WAKITIBIWA MAJERAHA YA AJALI WAREJEA NCHINI.HINI.


1A
Ndege iliyowaleta wanafunzi hao kutoka nchini Marekani mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot mkoani Kilimanjari leo.
01A
 Wanafunzi wawili miongoni mwa watatu waliorejea leo kutoka kwenye matibabu nchini Marekani2A
Baadhi ya wanafunzi wamejitokeza kuwapokea manusura watatu wa ajali ya basi la wanafunzi wenzao wa Shule ya Lucky Vincent ya Arusha wakitokea Marekani ambako walikuwa wanapatiwa matibabu.
3A
Wanafunzi hao wakiwa wameketi pamoja na wazazi na ndugu na jamaa pamoja na madaktari waliowaleta kutoka nchini Marekani walikokuwa wakitibiwa kutokana na majeraha ya ajali ya basi ililokuwa limewabeba wanafunzi wa shule ya Luck Vicent huko Karatu
4A 5A

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13