VIFUNGASHIO VYA BIDHAA BADO NI TATIZO KWA WAJASIRIAMALI WILAYANI GEITA


Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa uhuru ,Amour Hamad Amour pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Geita ,Mwl Herman Kapufi wakikagua mtambo wa kuchakata Alizeti.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa uhuru ,Amour Hamad Amour akiweka Mbigu za Alizeti kwenye mashine ya kuchakata.

Ubao unaonesha kikundi kilipo.

Wnanchi wakifuatilia zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kwenye kiwanda kidogo cha kuchakata alizeti.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa uhuru ,Amour Hamad Amour akiweka Jiwe la Msingi kwenye Kiwanda kigodo cha kuchakata alizeti

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13