TANZANIA YATENGA BILIONI 1.4 KUKABILIANA NA UGONJWA WA SARATANI .
![]() |
Naibu waziri wa Afya maendeleo yajamii jinsia wazee nawatoto Dk.HAMIS KIWANGALA |
Timothy Marko.
SERIKALI imesema inaendelea kukabiliana na tatizo la ugonjwa wasaratani ikiwemo kuboresha huduma za matibabu ikiwemo vifaa tiba ilikuweza na ugonjwa huo.
Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo yatiba yaugonjwa huo yalioendeshwa na tasisi ya Hospitali ya ocen Road jijini Dar es salaam Naibu waziri wa Afya maendeleo yajamii jinsia wazee nawatoto Dk.HAMIS Kigwangala amesema kuwa Tanzania imekuwa namzigo mkubwa katika kupambana naugonjwa wasaratani ambapo zaidi ya watu 40000 hufariki kutokana naugonjwa huo .
''TANZANIA imejipanga kutokomeza ugonjwa wa saratani hususan kuwekeza katika vifaa tiba ,kuboresha hali yawatalamu wetu katika matumizi yateknolojia ya unclear Medicine inayotumika kupitia mionzi ''Alisema Kigwangala
DK.kigwangala alisema kuwa lengo la serikali ya awamu yatano nikuhakikishaaa maambukizi yanapungua kabisa ya saratani .
alisema serikali inawajengea uwezo watalamu wahuduma ya afya wazawa ilikuweza kupata mbinu nyingi za ugonjwa huo wakati huohuo serikali imeshatenga shilingi bilioni 7 kuweza kabiliana na ugonjwa huo.
Mkururugenzi wa hospitali ya Ocen road jijini Dar es salaam Dk. Julias Mwaiselage amesema kuwa takwimu zinaonesha kuwa saratani yamlango wakizazi imekuwa ikiwakumba wanawake wengi nchini Tanzania ikifuatiwa nasaratani yangozi.
Comments
Post a Comment