SERIKALI YATOA ONYO KWA WASANII
WAZIRI WAHABARI SAANAA MICHEZO NAUTAMADUNI DK.HARRISON MWAKYEMBE. |
SERIKALI nchini Tanzania imewataka wasanii nchini humo kuweza kutunga tungo zao pasipo kuvunja sheria za nchi nakusitiza kuwa hakuna uhuru usiokuwa namipaka kwani uhuru usiokuwa na mipaka nivurugu na unweza kuhatarisha amani ya nchi .
Akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali wamziki nchini jijini Dar es salaam Waziri wa Habari Sanaa utamaduni na Michezo Dk.Harrison Mwakyembe amesema kuwa kila mtu anamipaka yake yakuzungumza jambo ,nakuwataka wasanii hao kutajilinganisha nawabunge bungeni kwani wao wanalindwa nasheria .
''Hakuna haki isiyokuwa na mipaka ,endapo msanii ataimba nyimbo zinazochochea vurugu nakuhatarisha amani atachukuliwa hatua za kisheria ,bungeni kuna kinga yake kwani mbunge analindwa na katiba kwa mujibu washeria ''Alisema Dk.MWAKYEMBE .
Mwakyembe alisema kuwa wasanii wanaweza kuimba nyimbo nakutunganyimbo zao lakini kabla yakuziweka hewani nilazima kuzifanyia uhariri wanyimbo zao ili wasije wakaingia katika mikono ya dola .
Comments
Post a Comment