SERIKALI YA TANAZANIA :UCHUMI WA TANZANIA UMENDELEA KUPAA KWA KASI.

Timothy Marko.
SERIKALI ya Tanzania imesema uchumi wa nchi hiyo umeendelea kukukua kwa asilimia 7ikilinganishwa na nchi za Afrika Mashariki  ikiwemo nchi zaRwanda kenya ambazo  uchumi wake umekuwa kwa asilimia5.

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa idara Habari  Maelezo Dk.Hassan Abbas
 wakati akizungumza na wandishi wa habari kwenye ofisi yake jijini Humo ambapo ameleza kuwa sambamba nakukuaji wauchumi kwanchi hiyo ripoti mbalimbali za nchini Uingereza zimeeleza kuwanchi ya Tanzania inashika nafasi ya nane katika vivutio vya uwekezaji .

'' Tupo katika mageuzi makubwa yakuhakikisha wafanyabishara wote nchini wnafanya biashara halali itakayo changia pato lataifa nakukuza uchumi kwani baadhi ya sekta kama vile afya nishati zimekuwa zikikua kwa kasi hali inayochangia uchumi kukua ''Alisema Mkurugenzi Dk. Hassan Abbas.

Dk. Abbas amesema jumuhia yakimataifa imefurahishwa najitihada mbalimbali ambazo serikali ya awamu ya tano inavyopambana narushwa .

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA CHANGAMOTO ZA MADAWATI YAKIJINSIA JUNE 13