SERIKALI KUSHIRIKIANA NAWADAU MBALIMBALI KATIKA UTAFITI.
NAIBU Waziri wa Kazi jira na watu wenye ulemavu nchini Tanzania Antony Mavunde |
NAIBU Waziri wa Kazi jira na watu wenye ulemavu nchini Tanzania Antony Mavunde amezitaka taasisi mbalimbali za umma kuzitumia tafiti ilikuweza kutengeneza sera mathubuti ili kuwaletea wananchi maendeleo ya kiuchumi
.
Wito huo umetolewa jijini Dar es salaam Wakati Naibu Waziri Antony Mavunde akizindua ripoti iliyoandaliwa na chuo cha Biashara cha CBE ijulikanayo kama hali ya maendeleo ya ubora waviwango vya bidhaa nahuduma Barani Afrika (standardization for sustainable develompement) ambapo amesema kuwa ili nchi zinazoendelea kama Tanzania nilazima kutumia tafiti za kitaluma katika nyanja mbalimbali ilikuweza kujiletea maendeleo .
''tunatakiwa kuweka suala lautafiti kama njia sahihi ya kuboresha sera za maendeleo ilikuweza kufikia nchi za uchumi wakati lazima suala lautafiti iliwekewe mkazo nakama hatutaweka bajetizetu katika kufanya utafiti hatutoweza kuendelea ''Alisema Naibu Antony Mavunde .
Mavunde alisema kuwa serikali yawamu yatano imeahidi kuweza kushirikiana nataasisi mbalimbali zinazo jihusisha nautafiti ilikuweza kujiletea maendeleo ya kiuchumi .
Comments
Post a Comment