SEKTA YA KIBENKI YAONGOZA KATIKA SOKO LAHISA .
![]() |
Meneja Biashara na Mauzo wa soko lahisa lajijini Dar es salaam Mary KINABO |
Timothy Marko.
SEKTA ya Kibenki nchini Tanzania imeweza kuimarika baada ya Takwimu za soko lahisa la Dar es salaam nchini Tanzania kubainisha kuwa hali hiyo imechangiwa nakushuka kwa bei yahisa za makampuni mbalimbali yaliyo orodheshwa katika soko hilo .
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Meneja Biashara na Mauzo wa soko lahisa lajijini Dar es salaam Mary kinabo katika takwimu zilizopo sokoni hapo zilionesha kuwa benki ya CRDB asilimia 77 imeongoza kwa kukunuliwa hisa zake ikifuatiwa na Kampuni yabia TBL kwa asilimia 22
''ukubwa wa makapuni yandani ueongezeka kwashilingi bilioni 13kutoka shilingi trioni 7.70 kwa wiki iliyopita hadishilingi trioni 7.71 hii imetokana nakupanda kwabei yahisa za benki ya CRDB Kwa asilimia 2 kutoka shilingi 205hadi 210''Alisema KINABO. .
Comments
Post a Comment