SEKETARIETI YA AJIRA YAWATAKA WAAJIRIWA NCHINI KUFUATA TARATIBU ZA KUPATA KAZI .
MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO SEKRETARIETI YA AJIRA SERIKALINI RIZIKI ABRAHAM |
Timoth Marko .
SEKREARIETI ya ajira nchini imewataka Wanaotafuta kazi katika ofisi za serikali kukidhi vigezo vilivyo anishwa na tasisi hiyo iliwaweze kuajiriwa katika mashirika mbalimbali ya umma nakuondokana na malalamiko juu ya upatikanaji wa ajira kwenye ofisi hizo .
Akiungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano wa Taasisi hiyo Riziki Abrahamu amesema kuwa baadhi ya waombaji wa kazi kwenye mashirika yaumma hawazingatii taratibu zauwasilishaji wanyaraka mbalimbali ikiwemo kutoambatanisha vyeti vyataluma na kuwasilisha maombi hayo kwanjia tofauti kama ilivyotangazwa kwenye Tangazo lakazi .
''Waombaji wengi wamekuwa wakiwasilisha Taarifa za uongo ikiwemo wasifu binafsi usio wakweli nakutotuma nkupakia taarifa sahihi katika mifumo wakuombea kazi pamoja nakupakia vyeti visivyokamilika ''Alisema Riziki Abraham
Mkuu wa Kitengocha mawasiliano Riziki Abraham amesema kuwa Waombaji mbalimbali wantakiwa kuachana kuishushia lawama taasisi hiyo nabadala yake kufuata taratibu kama zilivyo ainishwa ilikueza kuitwa kwenye usahili .
Alisema Waombaji wote wanafasi zakazi serikalini wanapaswa kufuta maelekezo katika matangazo husika kwakuhakikisha wanasifa satahiki .
Comments
Post a Comment