JOB NDUGAI AWATAKA WABUNGE WA VYAMA VYA UPINZANI KUHESHIMU SHERIA.
SIPIKA wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ametaka Wabunge wa bunge hilo kuheshimu Kanuni nasheria za bunge hilo ilikuepuka mkono washeria ikiwemo kufukuzwa kuhudhria vikao vinavyoendelea bungeni . |
Timoth Marko
SIPIKA wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ametaka Wabunge wa bunge hilo kuheshimu Kanuni nasheria za bunge hilo ilikuepuka mkono washeria ikiwemo kufukuzwa kuhudhria vikao vinavyoendelea bungeni .
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Spika Job Ndugai amewataka wabunge wabunge lakumi namoja kuzingatia sheria nakanuni kwani bunge hilo limeshoshwa navitendo visivyo vyakinidhamu vinavyofanywa na Baadhi ya wabunge wawapo katika bungeni
.
'' Marehemu Ndesambulo alikuwa mbunge wa chama cha upinzani lakini alikuwa nimfano bora kwa vyama vya upinzani kwakufuata kanuni za bunge nilazima tufike mahali tufanye kazi kwa mujibu wa kanuni na sheria''Alisema Spika N'dugai .
Spika Ndugai alisema kuwa kuhusiana na sakata laugumi kuchukua tenda kufunga kamera kutoka jeshi lapolisi amsemakuwa kinacho subiliwa niripoti yamkaguzimkuu wa serikali ilikuweza kutoa majibu juu ya sakata hilo nakuongeza kuwa hana uhasama na chama chochote kwani wabunge wote nimarafiki zake
.
Alisema hatua yachama cha CUF kuwafukuza baadhi wanachama wake yeye uamuzi atakao uchukua nikwenda kwa chama hicho ilikuweza kupatiwa orodha ya wanachama walifukuzwa uwanachama nakuweza kuthibitishwa na msajili wa vyama vyasiasa .
Comments
Post a Comment