TUNZO ZA UTALII KUFANYJ
TUNZO ZA UTALII KUFANYIKA JOHARI ROTANA JUNI 28. Timothy Marko BODI ya Utalii imesema inatarajia kuwa mwenyeji wa Tunzo za Afrika Mashariki za Utalii katika Hoteli ya Johari Rotana yajiijini Dar es Salaam June 28 Mwaka huu. Akizungumza naWaandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Mkurugezi wa Bodi ya Utalii Nchini Ephraim Mafuru amesema Tunzo hizo zitahusisha Nchi za Asia na Afrika, Ambapo Mazao ya Utalii yataoneshwa. "Tunzo hizi zinahusisha Sekta Binafsi38 nasekta 12 kutoka Sekta ya Umma."Alisema Mkurugezi wa Bodi ya Utalii Ephraim Mafuru. Mafuru Aliongeza kuwa Tunzo hizo zinatarajiwa kuhudhuriwa na Washiriki 500 wandani nanje . Aidha, Mkurugezi wa Hoteli ya Johari Rotana yajiijini Dar es Salaam Ahmed Said amesema kuwa Tunzo hizo ni heshima kubwa kwa Tanzania katika kutangaza vivutio vya Utalii vilivyopo Nchini ikiwemo Hoteli ya Johari Rotana. Alisema Sekta ya Utalii nikikichocheo kizuri cha Uchumi WETU, kupitia Sekta hiyo Nchi yetu inajitangaza kupitia Utalii wa Mikuta...