MFUMUKO WA BEI NCHINI WA PUNGUA

Image result for ephraim kwesigabo

Mkurugenzi wa takwimu zauchumi nawatu Epharaimu Kwesigabo

TIMOTHY MARKO

MFUMUKO wa bei nchini kwakipindi cha mwezi mei mwaka huu umeshuka nakufikia 3.6 ikilinganishwa na nasilimia 3.8 kwakpindi cha mwezi April mwaka jana .

Kupungua kwa mfumuko wa bei  katika kipindi cha mwezi mei mwaka huu kumetokana nakupungua kwa mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula ambapo baadhi ya bidhaa zilizopungua bei ni pamoja na Mahindi kwa asilimia 10.3 unga wa mahindi kwa asilimia 12 .5 mtama asilimia 13.8 ,unga wa muhogo kwa asilimia 15.2 wakati viazi mviringo vimepungua kwa asilimia 9.0 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa takwimu zauchumi nawatu Epharaimu Kwesigabo amesema kuwa wakati mfumuko wa bei nchini Tanzania ukipungua kwa asilimia 3.6 nchini kenya mfumuko wa bei umeongezeka kwa asilimia 3.95 kutoka 3.73 

''NCHINI uganda mfumuko wa bei umepungua kwa asilimia 1.7 kutoka asilimia 1.8 katika kipindi cha mwezi Aprilmwaka huu ''Alisema KWESIGABO .

kwesigabo alisema kutokana upandaji holela wa za mafuta nchini kunaweza kukapandisha bei za bidhaa lakini athari yake ni ndogo sana ambapo mabadiliko yabei yameongezeka kwa asilimia 003 kutoka asilimia 004.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine