Serikali yapokea Bilioni 4 kutoka Eu

Timothy Marko

Katika kuhakiasha sekta ya ELIMU inaleta matokeo chanya katika ukuwaji wa uchumi wa viwanda jumuhia ya ulaya imeipa Tanzania shilingi bilioni 4ilikuwezeshavyuo mbalimbali kufanya utafiti.
Akizungumza katika uzinduzi  mkutano wa kuhamasisha kufanya utafiti ili kujiletea maendeleo nchini WAZIRI wa ELIMU na mafunzo ya ufundi professa Joyce ndalichako amesema kuwa endapo taasisi za kielimu zitahamasisha wanafunzi wao kufanya utafiti kutasaidia kukuza kiwango cha ELIMU nchini.
"Ziara za kimasomo Nje ya nchi kutaweza kukuza sekta yaelimu,tafiti nimuhimu katika kufikia uchumi wa kati" alisema WAZIRI profesa ndalichako.
Profesa ndalichako alisema kuwa ufadhili wa masomo katika jumuhia ya ulaya kutawezesha wanafunzi wa uzamili Na uzamivu kupata uzoefu.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine