HIMIDI MAO AOMBA KUONDOKA AZAM


Nahodha wa Azam FC, Himid Mao ameuomba uongozi wa klabu hiyo umuachie aondoke.

Hamid ameomba kwenda kucheza nje ya nchi na tayari amesema ameishapata klabu mpya.

Kiungo huyo anataka kwenda kucheza nje akianza na majaribio na uongozi wa Azam FC, umekubali.


Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi Maganga amesema wanaona ni sahihi kumpa nafasi Himid akajaribu bahati yake.

Comments

Popular posts from this blog

Mvua yatatiza mpambano kati ya Simba SC na El Masri

Marubani Wawili Wapoteza Maisha kwa Ajali ya Ndege Zanzibar

Huduma za serikali ya Marekani zakwama kwa mara nyengine