SERIKALI YAWATAKA WANAHABARI KUZINGATIA MAUDHUI
![]() |
KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI SANAA NA UTAMADUNI NA MICHEZO PROFESA ELISANTE OLEGabriel |
SERIKALI imewataka waandishi wa habari za mitandao kuweza kuandika habari zinazozingata maadili ya kitanzania nabadala yake kutumia mitandao hiyo kuleta habari za uchochezi ilikuondokana na matatizo ya hali ya kiusalama na mikangnyiko itakayoleta mikanganyiko ndani ya jamii.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam katika mkutano wa wadau mbalimbali wa tasinia ya Habari Katibu mkuu wa wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabrieli amesema kuwa nimuhimu kwa wanahabari kuzingatia suala la maudhui katika habari anayoitoa ilikuepuka mikanganyiko ndani ya jamii .
''Suala lamaudhui nimuhimu sana kwa wanataluma ya habari kwani maudhui kwenye habari ndio yanayojenga jamii ama kubomoa jamii husika hivyo hata kama mpo kibishara nilazima kuzingatia suala lamahudhui katika vyombo vya habari suala lakuonyana onyana kila siku sio suala zuri ''Alisema Professa Elisante .
Profesa elisante alisemakuwa ilikuweza kuzingatia habari yenye ubora nilazima maudhui yanayotolewa katika habari hiyo lazima yawe nasifa tatu sifa ya kwanza maudhui hayo yawe sahihi sifa yapili yawe mazuri na salama yatakayo ondosha mikanganyiko ndani jamii .
Comments
Post a Comment